Machapisho

Hizi Hapa Faida na Maajabu Yanayotokana na Kunywa Maji ya Uvuguvugu Kila Asubuhi

Picha
Inawezekana unatumia kikombe cha chai  au kikombe cha  kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa  ndio tabia ya kila siku , hata hivyo wachunguzi wanasema kunywa maji ya uvuguvugu  asubuhi wakati tumbo halina kitu unapata faida  za kiafya zaidi. Madaktari wanashauri kutumia maji ya uvuguvugu   yaliotiwa  limau au ndimu ili  kupunguza radical ndani ya mwili. Kutumia maji ya moto  inaongeza na kufungua utumbo ili kukufanya wewe upate haja kubwa kwa urahisi Na hapa kuna faida 7  za vitu vinavyotokea katika mwili wako utakapoanza kutumia maji ya moto kila asubuhi. 1.Yanasaidia kuondoa Mikunjo. Kunywa maji inakusaidia usizeeke mapema,hakuna mtu anaependa kuzeeka mapema.hata hivyo  sumu ndani ya mwili inaweza kukufanya uzeeke mapema. Wakati mwili wako unapotoa sumu  utapunguza magonjwa   na uzee. Maji ya  moto usaidia kuondoa sumu n...

Zifahamu Faida Mbalimbali za Tangawizi Katika Mwili Wako

Picha
Hicho ni kiungo kinachotokana na mzizi wa mmea unaoitwa Tangawizi. Ni mmea unaofanana sana na binzari, ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Pia, ni bidhaa inayopatikana nchi nzima kwa bei nafuu kabisa na kila mtu mwenye uwezo wowote wa kiuchumi, anaweza kununua aidha kwa kipande kimoja, fungu au hata kilo akipenda. Hivi karibuni akiwa mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango, ambaye sasa ni mbunge wa Viti Maalum (CCM), aliendesha kampeni kubwa ya uzalishaji wa tangaweizi wilayani humo, ikiwa sehemu ya zao la biashara. Mmea huo unaweza kuonekana kama wa kawaida na watu kuutumia tu katika mtindo wa mazoea, lakini ni kiungo kinachotumiwa kama dawa. Pia, kiungo hicho kinaweza kutumika kikiwa ama kibichi au kimekaushwa na kutengenezwa katika mfumo wa unga. Faida zake Tangawizi ni kati ya mimea mingi yenye maajabu. Unaweza kutumika kama dawa na kutibu magonjwa zaidi ya 72 mwilini mwa mwanadamu. Ina faida zaidi hasa kwa wagonjwa walioathirika n...

Fanya hivi kujitibu ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

Picha
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo kwa miaka ya hivi karibuni  umekuwa ni tishio, huku wengi wakiwa hawaelewi wafanye nini ili kujitibu, hivyo kutokana na tatizo  hilo wengi wamekuwa wakipoteza matumaini ya kwamba ugonjwa huo hauna tiba, kama ndivyo hivyo na endapo unasumbuliwa na ugonjwa huo unashauriwa kutumia vitu vifuatavyo ili uwweze kupona ugonjwa huo. 1. Ndizi mbivu Ndizi zilizoiva na hata ambazo hazijaiva zote ni nzuri kwa ajili ya kudhibiti vidonda vya tumbo. Kuna aina maalumu ya muunganiko wa vimeng’enya vilivyomo kwenye ndizi ambavyo huzuia kuongezeka au kuzaliana kwa bakteria wa vidonda vya tumbo ‘H. Pylori’. Ndizi pia huulinda mfumo wa kuta za tumbo kwa kuiondoa asidi iliyozidi tumboni na hivyo kusaidia kuuondoa uvimbe au vidonda tumboni na pia kuuongezea nguvu ukuta wa tumbo. Nini cha kufanya; Ili kutibu vidonda vya tumbo, kula walau ndizi zilizoiva 3 kwa siku. Au menya ndizi 2 au 3 na uzikate katika vipande vidogo vyembamba (slices) na uanike...